Mke wa Rais wa Marekani mama Michelle Barack Obama akiwasili katika ofisi za Wanawake na Maendeleo WAMA wakati alipotembelea katika ofisi hizo kwa mazungumzo na mwenyeji wake Mwenyekiti wa WAMA Salma Kikwete.
Michelle Obama akilakiwa na mwenyeji wake Salma Kikwete wakati alipowasili katika ofisi hizo kwa mazungumzo mafupi.
Michelle Obama akipozi kwa picha na mwenyeji wake Salma Kikwete
Baadhi ya wake wa viongozi wakipunga bendera kama ishara ya kumpokea Michelle Obama
Anna Mkapa ambaye ni mwenyekiti wa taasisi ya EPTF akiongozana na Aisha Bilal wakati wa mapokezi ya Mke wa Rais Barack Obama, Michelle Obama katika ofisi za WAMA. {Picha zote kwa hisani ya http://www.fullshangweblog.com/ }